Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 29, 2011

TUKAPATA TENA MWALIKO WA KWENDA DOLPHIN BEACH TOKA KWA MHESHIMIWA OMAR MZEE

Hapa mheshimiwa akitoa mawaidha yake juu ta tasnia ya filamu na ushauri nini kifanyike kwetu na wao au yeye upande wa serikali watafanya nini.


kwa mbali Jacque Pentzel na Wolper

Wolper,Odama,Steve na Maya


Mheshimiwa Omar Mzee,Pentzel na Wolper


wakati wa kurudi kuelekea ngome kongwe kutokana na watu walishiba sana basi hali ilikuwa hivi.


Aunty akalala kabisaaa ktk gari

5 comments:

kelvin said...

vizuri sana

kelvin said...

vizur sana

Anonymous said...

Siasa mbaya, mtu yuko tayari kuwa entertain watu kwa gharama zozote wakati ana watu wanaomtegemea wanaishi maisha ya tabu...
Hata ukiibania ujumbe umefika.

Anonymous said...

Kaka naomba nikupe mawazo yangu binafsi na naomba kama utaweza uyafanyie kazi tafadhali:

kuna hadithi moja nilisoma nzuri sana inaitwa MKIMBIZI ya kiswahili, ni hadithi nzuri sana tena sana kama unaweza kuongea na mtunzi mkaungana ukatengeneza movie hata ikichukua mwaka mzima na ukaifanyia kazi vizuri kwa maeneo yaliyotajwa kweli kaka utauuza ulimwengu mzima.

Usitegemee hadithi za kwenu tu fanyeni biashara kwa kuingia mikataba na watu wenye uwezo wa kutunga hadithi nzuri (kama hiyo ninayoizungumzia) na kuitengenea movie moja babukubwa kwa mwaka ambayo unauhakika itakuiingizia fedha ya kutosha. Lakini huku mnaendelea kutengeneza movie nyingine za kwenu lakini unatafuta hadithi moja ya kutengeneza movie yake taratibu na itoke bomba mbaya hakika kaka utakuwa umetengeneza kitu cha kukutofuatisha na wengine.

hadithi hii naipenda sana na i wish kama itengenezewe movie naamini utafanya wonders kwa jinsi hadithi hii ilivyo. tafuta kitabu ukisome utaona tafadhali, tafadhali sana kaka.

Ni ushauri wangu tu na maoni yangu.
lakini naamini unaweza nifurahisha mshabiki wako na naamini katika MUNGU unaweza kufanya hilo, kaka nifurahishe naipenda na napenda unavyofanya naamini kweli KATIKA YEYE AKUTIAYE NGUVU utafanikiwa hata kama si sasa najua siku za usoni utalifanyia kazi.

Shabiki wako Na. I

Anonymous said...

Kanumba ur real star no 1 bongo laki jaribu kuwakumbuka watu wenyeshida mayatima,walemavu ,wagonjwa ktka kaz zako naweutaongezewa zaidi