Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 9, 2011

TUNAENDELEA..........

Gari yangu ya production ikiwa kikazi zaidi..


Crew yangu na Ramsey


Baada ya kazi tayari kwenda kupumzika...


Production manager wangu Maya na Ramsey


Scene ya kuelekea kwa mganga,


harakati za kuchukua mandhari ya pori kwa juu


Dada na rafiki yangu Peter(katikati) walifika kunipa sapoti na Ramsey


Ramsey akijaribu kushika mistari ya kiswahili


mmmmmmh?


Samm,Zakayo na Ramsey kikazi zaidi


Jennifer nae alikuja kumpa kampani Uncle JJ.

Ally Yakuti(mwandishi wa movie hii) akifatilia rehasal yangu na Ramsey katika script


Hawa Mkamba nae alipita location kusalimia


Shukrani sana Hawa kwa kututembelea location fanya fanya nawewe urejee katika game kama ulivyofanya katika MASAA 24 na SANDRA.

6 comments:

Anonymous said...

hahahah wee kanumba unabalaa..ok inshallah nitarudi tena usijali...thanks
HAWA M.

Milka Richard said...

Kanumba jamani,Bado tu hamjamaliza kuedit hiyo movie,tunaitaji watz plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz,mnazidi kututamanisha wajameniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

SIMON KITURURU said...

Poa sana!

Anonymous said...

nawapa pongezi kwa kuwa mnajitahidi na huko mbeleni mtakuwa wa kimataifa zaidi kama wengine na pia nahisi hii movie itakuwa bomba sanaa tunaisubiliaa.

meggy impostra Moro

Anonymous said...

hao wote walikuja kujipendekeza kwa ramseyna ramsey mwenyewe kawachunia mnapiga picha hana hata ushirikiano jamani hzuni

Anonymous said...

Jirani yangu Hawa M, nakuona unajisogeeeza kwa Ramsey!! Ana mwenyewe huyo...!

jirani yako nikiwa mapumzikoni safarini....(UDHUNGUNI..)