Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 29, 2011

TULIPATA MWALIKO WA CHAKULA CHA JIONI TOKA KWA MHESHIMIWA WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR OMAR YUSUPH MZEE.

Makulaji yakiendelea


Cloud na Steve nyerere


Mheshimiwa waziri wa fedha Zanzibar Omar Mzee nae akiwajibika


The great sikuwa mbali na mheshimiwa ambapo baada ya chakula nilipata mda wa kumuelezea mipango yetu na malengo yetu katika BONGO MOVIE CLUB na TASNIA YA FILAMU kwa ujumla kama msemaji wa club.


Duuuuuh???


Odama na Jacque Wolper walisaza...


Tunashukuru sana mheshimiwa kwa nafasi hii uliyotupatia pamoja na majukumu mengi ya kiserikali lakini ukatudhamini na kuwa na sisi na kutusikiliza,kwaniaba ya wenzangu tunakushukuru sana...

1 comment:

Anonymous said...

Tena mshukuru sana kwa muda wake na kuwagharamia hizo lunch na dinner maana watoto alozaa na wanawake wengi anashindwa kuwahudumia na kwenda kuwaona.
SIASA SIASA SIASA... Urais 2020...