Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 29, 2011

TUKAMALIZA TAMASHA LA ZIFF KWA FURAHA NAMNA HII....

Wasanii wote wa movie tuliitwa mbele kusalimia na kuwaaga mashabiki wa Zanzibar

Aunty na Jacque Wolper


Kama kawaida yake Steve Nyerere haishi kwa vituko


The great niliwaaga mashabiki kwa staili hii bila kuongea..


Kwaheri Zanzibar....


Steve Nyerere akaanza kuigiza sauti za viongozi...


Hapo akimuigiza Mheshimiwa Maalim Seif kwa kusema ''hakiiiii......sawaaaa....sawasawa.....watu walicheka sana hapa...

1 comment:

Anonymous said...

steve mchafu embu ajipende na yeye hamuwaoni wasanii wa west africa wanavaa classic na kujipenda yani yupo yupo tu