Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 17, 2011

THE GREAT KATIKA MBONI SHOW..COMING SOON...

Nikiingia katika kipindi chake


mmmh


Mboni Masimba akiongoza show yake


Sina mengi ya kuongea zaidi ya kuwaomba mkisubiri kwa hamu


Ikiendeleaaa..

4 comments:

Anonymous said...

makubwa kila mtu siku hizi bongo anakuwa na show yake kwenye tv mh haya na tuisubiri tuone anaongelea nini labda unijuze kidogo, na itakuwa inarushwa kituo gani cha tv?

Anonymous said...

UFANYE UPUNGUO BRO PIA HICHO KIPINDI KITARUSHWA CHANNEL GANI NAOMBA JIBU TAFADHALI.

Anonymous said...

Kaka hongera sana,nimeangali filamu yako ya MOSES nimeoa ni wapi umetoka,wapi ulipo na wapi unaelekea katika filamu.Endelea kuipenda na kuithamini kazi yako.Mungu akutangulie na kukubariki katika kazi yako.

kibe sinare said...

nikipindi kizuri kama show nyingine and i thnk God sisi ndio tumekianzisha lasmi ndani ya serena zamani movenpick wamejipanga kaka........