Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 5, 2011

UZINDUZI WA FILAMU YA CHUMO ULIVYOFANA.....

Mlela na Crew ya Steps mara baada ya uzinduzi


The great nikisalimiana na MR.John Riber producer wa movie hiyo lakini pia ndiye director wa filamu ya NERIA na YELLOW CARD.


Cloud na Tyson walikuepo


Richard,Jairad toka Steps,Cheni na JB.


Dada huyu aliomba kupiga picha na mimi pamoja na swahiba


haya haya....


Jokate akiwajibika katika movie ya Chumo


Watu wakitizama kwa umakini


Ino Bachard,swahiba na mzee wa kauli Saguda...6 comments:

Anonymous said...

hongereni,ila kanumba katika website yako,ungekuwa unatuwekea trailer,ili kwa sisi tulioko mbali,tuwe na idea ya hiyo movie tupate kuagizia

Anonymous said...

Jamani mimi kiukweli namzimia sana Dk Cheni yuko simple huyu kaka hadi raha..............
Kuact anajua, mavazi anajua kupangilia...........
Body yake anajua kuicontrol
Big up cheni ulipendeza sana

Richard Bezuidenhout said...

Kaka mbona sikukuona usiku huo...?

Chakubanga said...

Vipi mbona huyo Ladyboy hapo kulia umemkata ?

ON FIRE link. said...

vipi the great ,mipango inakwendaje lini unatoa kitu kingine cha comedy km UNCLE JJ we ni mkare umetisha sn kwa hii industry bana

Anonymous said...

hivi hao wasanii wa kike wanavyovaa hizo nguo za uchi na zinazoonyesha maumbile yao wanamaanisha nini?au ndio biashara matangazo?mbona nyie wasanii wa kiume hamvai mavazi ya namna hiyoooooooo?ninataka siku moja na nyie wanaume mushuti filamu mkiwa mevaa vichupi tu ili ipendeze zaidi kwani kuvaa kwenu hivyo ndio mtauza sana.