Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 9, 2010

SALAMU TOKA KWA LEONEL ESTEVAO ALIYEKUWA MSHIRIKI WA BBA REVOLUTION(MOZAMBIQ)

Leonel akiwa na Ernania-face of Africa 2009 nchini Africa ya kusini

Akiwa na washiriki wenzake aliokuwa nao katika bba revolution wakijiandaa kwa rehasal ya kufunga show ya bba.

Leonel akiwa na washiriki wenzake wa bba mara baada ya show kumalizika na Kelvin kuwa mshindi walipata nafasi ya kutembelea sehemu mbalimbali za utalii Africa kusiniLeonel akiwa na Kanye Mbau mara baada ya star huyo wa Africa kusini kutembelea Mozambique juzi hivyo wakakutana club ambayo Leonel ndiye DJ wa club hiyo,Kanye Mbau nilikuwa nae katika opening ya bba revolution kama starmet

Thank u so much Leonel for the nice pic.

2 comments:

Albert said...

Kumbe wasanii ni wengi sana Africa, vipaji vingine tutakosa sehemu ya kuvionyeshea!
Albert, WA

Anonymous said...

I WISH HAWA WATU WARUDI TENA BIG BROTHER IJAYO COZ ILIKUWA BONGE LA SHOW NEVA BE THE SAME AGAIN

I MIS KELVIN ,,MZAMO,ELIZABETI,PHILI JACOB,SMELTON,NKENA GEREDIAL AKA MUTE,
LEON,JENI,LIZ,LEE,EDDY & RENATUS,
& I DONT WANT TO FORGET GOOD COUPLE EMA & JERIMIA,BUT BUT IM STILL HATE ITAI & NKENA FOR WHAT THEY HAVE DONE TO ELIZABETY

JUDITH