Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 21, 2010

PASTOR EMMANUEL MYAMBA ATUTEMBELEA SHOOTING

Msanii mwenzetu(kushoto)Emanuel Myamba a.k.a pastor katutembelea kuona shooting yetu inavyokwenda chini ya PILIPILI ENTERTAINMENT,hii ni kawaida yetu kutembelea location ili kutiana moyo,ndio kampeni tuliyoianzisha ili kulisukuma vyema hili gurudumu la sanaa bongo.

Akiteta jambo na wasanii wenzake
Hapa akisalimiana na Monalisa wakati anaingia location kwetu kutuona

No comments: