Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 15, 2010

THE GREAT,MONALISA,YUSUPH MLELA WALISUKUMA GURUDUMU SAWASAWA KATIKA MOVIE HII TOKA PILIPILI ENTERTAINMENT.

Mdogo wangu Yusuph mlela akiwa na msanii mkongwe katika filamu hapa bongo Monalisa katika swimming pool katika mojawapo ya scene za PAY BACK.

Hawa jamaa hawatumii bumu mic kama tulivyozoea katika shooting zetu bali mic zao ni za kuvaa mwilini zinafichwa katika nguo hazina tofauti sana na zile zinazotumika katika big brother.kama unavyoona hapo nikivalishwa mic ili sauti yangu isikike na kwenda moja kwa moja katika mixer.

The great na Monalisa tukipata maelekezo kwa lugha ya ki-english kabla ya kuanza kushoot scene.

Scene imeanza kurekodiwa sasa

Mlela na Mona katika scene mojawapo za montages

The great nikipewa direction toka kwa Artist director kabla sijaingia mbele ya camera iliyofungwa katika crain.

Director mwenyewe akieleza jambo kwa crew na mimi pia

Nikiwa katikati ya scene

Hapa kazi ikiendelea na niko makini sana kuhakikisha nafanya kama inavyotakiwa

Ma-director wakiwa katika monitor wakicheck ninavyoact huku pembeni mtu wa sauti akiwa makini katika mixer kuhakikisha kuwa sauti inakuwa nzuri kila mara ninapomaliza kushoot scene directors na crew nzima wananipigia makofi wakisema kuwa ninafanya vizuri kama wanavyotaka.

The great na mabosi wenyewe wa movie hii ambayo kwakweli stori yake ni nzuri mno pia jinsi inavyoongozwa mtindo wake ni kama bollywood na hollywood,ipo tofauti kubwa sana na uongozaji wa movie zetu bongo kwangu mimi The great yale yote mazuri toka kwao ntayachukua na mengine kuyaweka katika movie zetu au zangu ili kuwa na mabadiliko mazuri katika tasnia yetu ya filamu Africa nzi

4 comments:

Anonymous said...

mnajitaidi me nakubali kabisa lakini hata mwenzio ray nimeshamwambia several times sasa anzeni kwenda proffessionally nimeona hapo mtu wa make up unampaka yvonne unajua kawaida wabongo tunatumia brush moja anampaka yvonne akimaliza anakupaka na wewe akimaliza na yusuph! uongo! mayasa huwa anfanyaje maana naona sana kwenye credits yeye ndo make up artist wenu tunadhani ni kawaida sio kawaida na sio proper yani sio healthy wewe umeshakuwa mkubwa naohakikisha unapokuwa location una kibrush chako au wiper yako ya upaka enjoyface au make up usifanye sharing na wengine yani sio utozi bali nia afya ukisweat halafu wakakuapaka make upna kipakio walichotumia mtu mwingine ni sawa na kushare handcarchief upo? halafu hizo microphone za kuvaa zinaitwa RAPELS! sawa baba! ni nzuri sana coz zinasave budget me nashangaa kwanini bongo mmengagania boom just imagine mmewalipa sh ngapi wabeba bum hiyo hela mngenunua hzo halafu manakuwa na mtu mmoja tu wa sound mix au unasemaje

Albert said...

Sina shaka kwamba movie hii itakua nzuri na ya kusisimua mno. Tumekaa mkao wa kula na tunasubiri kuiona kama kawa...
Albert, Western Australia.

Anonymous said...

Sasa wewe Kanumba Hawa watoto unataka kuwafanya nini? Tulikuona na Gwantwa katika mkao wa mashaka mashaka, Sasa tunakuona na huyu Monalisa katika mkao hou huo wa Pilipili, Mwisho wa siku sijui itakuwaje? Haya unayoyafanya siyo ya TZ. hapa TZ ukifanya hivyo tu lazima umalizie sasa tunakutahadhalisha usije ukamalizia

tweety said...

Mh Yussuf Mlela namzimia sana, Lisa baby wakilisha. all the best