Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 4, 2010

SALAMU ZA PASAKA TOKA DK KWA SHARIFA ABOU NA ABOU HERMIS

Kwa mbali kushoto Abou akiwa na mwanae(uncle wangu)Sharifa na Ali kiba Dernmark

Peace kwa wote katika Pasaka hii-Sharifa Abou mwana Dernmark

Sharifa na Van Vicker muigizaji toka Ghana pindi alipotembelea DK.

Happy family...Sharifa,Mdau mkubwa wa movie zetu Abou na dada Sanura.

4 comments:

Albert said...

Kumbe kazi zenu zinakubalika, mpaka watu wa Denmark wanawazimia?
Cha msingi tu msisahau kumuhusisha Mungu kwa kila jambo, kwani mnavyozidi kupanda juu na maadui huongezeka.
Anyway, na mimi nakupenda sana The great!
Albert, Western Australia.

Anonymous said...

kwa raha zenu

Anonymous said...

family imetulia si mchezo

Anonymous said...

family imetulia si mchezo