Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 12, 2010

THE GREAT KAZINI TENA CHINI YA PILIPILI ENTERTAINMENTThe great leo nimeingia mzigoni baada ya kuingia mkataba wa siku 13 na kampuni ya Pilipili entertainment TZ LTD kucheza movie yao inayoitwa PAY BACK,kampuni hii inamilikiwa na jamaa wenye asili ya India hivyo hata production yao kuanzia crew hadi director ni asili ya India wengine hasahasa crew ya production wametoka Bollywood kwa ajili ya kushoot movie hii.


Hii ni backshot ambapo camera imefungwa katika crain

Hiyo camera inanitafuta mimi ambaye niko nje kabisa ya ukuta

Monalisa na Yusuph Mlela nao wamo katika movie hii ambapo lugha mbili ndio zinatumika humu kiswahili na kiingereza hapa wakiwa katika scene ya ma loveeeeeeeCrew ya Pilipili entertainment mzigoni jamaa wako makini sana ila tatizo mda wote wanaongea lugha yao kiswahili hakipandi hata kidogo

Mlela kazini huku dada wa kihindi mwenye nguo nyeupe akimdirect,dada huyo ndiye director wa movie hii

Wakati wangu wa kula sikuwa nyuma kama kawaida yangu

Wasanii wengine wakiongozwa na Monalisa nao wakipata chakula wakati wa mapumzikoVyakula vingine ni vya kihindi hivyo ilibidi tu tuzoee kwasababu njaa haina subira

6 comments:

Anonymous said...

full PEPEEEEEEE wahindi mpaka chai


disminder

BQ said...

DUH KANUMBA NAWEWE UNAPENDA KULA JAMANI ILA ANGALIA KITAMBI HICHO KITAKUZIDI KAMA RAY, HA AHAAA

Anonymous said...

ni mdau mzuri wa filam zako, nilikuwa na hamu sana siku moja uigize na mona kwa saabu she is my no.one actress, sure and ar no one for male, this movie must itabamba sana. good job man,
ila wema na mainda usiwapotezeeee.
mdau kutoka A. town.

Anonymous said...

ANGALIA SANA KANUMBA MAANA WAHINDI IKO JANJA SANA KUWA MAKINI

Albert said...

Punguza kasi kanumba, umefika mpaka huko?
Haya ,Kila la heri kaka, asiyefanya kazi na asile, hivyo basi, keep it up!
Albert, Western Australia.

Anonymous said...

hii lazima itakuwa kali sana.kanumba mona na yusuph mlela wote nawapenda.