Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 18, 2010

LOVELY GAMBLE KUZINDULIWA RASMI SASA BONGO NA UK.

Filamu ya Lovely gamble iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sasa itazinduliwa rasmi tarehe 28 mwezi huu April katika ukumbi wa Billcanas usiku kuanzia saa 2kamili kwa hapa bongo ambapo bendi ya Twanga pepeta itakuwa ikitumbuiza na UK itazinduliwa tarehe 29 mwezi wa tano mwaka huu pale Reading,jamani msikose kuja karibuni sana. Poster la movie yenyewe.

No comments: