Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 20, 2010

LOVELY GAMBLE YAZINDULIWA LEO KWA WAANDISHI WA HABARI KABLA YA TAREHE 28.

Filamu iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu Lovely Gamble imezinduliwa kwa waandishi wa habari leo tarehe 20.4.2010 pale Muchmore kama maandalizi ya uzinduzi wenyewe utakaofanyika tarehe 28.4.2010 Billcanas club si pa kukosa jamani Steven Kanumba mwenyewe ntakuepo mapema kuanzia saa 3 usiku.karibuni sana. Cover ya movie kushoto ni mbele itakavyoonekana na kulia ni nyuma itakavyoonekana

Asha Baraka mkurugunzi wa ASET na ni mmoja wa ma producer wakuu wa movie hii akionesha cover za movie kwa waandishi wa habari leo saa tano asubuhi Muchmore club.

Asha Baraka akieleza jambo kwa waandishi pembeni mwakilishi toka kampuni ya KAPICO ambao ndio wasambazaji wa movie hii.

The great nikijitizama mwenyewe katika cover nilivyoshine

Nikijibu maswali mbalimbali toka kwa waandishi kuhusu movie hii

Tukionesha posters kwa wandishi wa habari

1 comment:

Anonymous said...

Hivi Kanumba katika ile movie ya Pay Back kuna mziki wa country unasikika mwanzoni na mara kwa mara kama background sound, ni ngoma gani na imeimbwa na nani vile?
It's me Lucas