Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 6, 2010

THE GREAT LEO NIMETEMBELEA HOSPITALI YA MUHIMBILI KUONA WAGONJWA PIA KUMUONA UNCLE WANGU MPYA ALIYEZALIWA.

The great nikiwa nimembeba Billy Jr,uncle wangu aliyezaliwa hivi juzi na dada yangu(Bella) ktk hospitali ya Muhimbili,hongera sana sister, The great na blog hii twakupa hongera sana na kumtakia maisha marefu Junior,Kulia sister wangu Bella akila chakula aina ya ndizi nilichompikia na kumletea kama mdogo wake.

The great na uncle wangu nikiwa nimembeba

Billy Jr katika pozi la kuzaliwa...

5 comments:

Anonymous said...

ooh that is soo sweet.

Anonymous said...

Cuuute baby hongera dada bado wewe brother .K. aka, the greet.

BabyAmore said...

ooh what a sweet baby, congrats Bella.

Bazizane said...

hongera sana Kanumba. wanaume wengi wanaogopa kushika watoto wachanga.

Anonymous said...

MUNGU AMLINDE AMPE UMRI MREFU NA MAPENZI MAKUBWA TOKA KWA MAMAKE

AMENI!