Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 1, 2010

KANUMBA THE GREAT FILM YAPATA UGENI LOCATION

Dada yetu Sanura Hussein Twalib mweupe katikati ambaye ni mdau mkubwa wa filam zetu na dada yetu alinitembelea kuona maendeleo ya shooting ya movie yangu yalivyo,yeye anaishi Dernmark lakini pia nilimpatia scene mojawapo acheze na aliimudu vizuri sana bila shaka Abou Hermis Dernmark umenisoma vizuri.

R wa GRM PRODUCTION nae alinitembelea location ili kunisaidia vizuri mambo ya props kama unavyomuona akiset camera ambayo ilikuwa inatumika katika scene

Kama surprise vile TK au Teddy Kalonga kutoka Los Angels Marekani nae alifika katika shooting ya movie yangu chini ya KANUMBA THE GREAT FILM ikabidi tupate picha kidogo hakika nilifurai sana kwa ugeni huu japo anaishi Marekani lakini amekuwa ni mfatiliaji mzuri sana wa movie zangu

TK ni mwanamitindo hivyo kwa mapozi ya picha ndio mwenyewe kama mnavyoona

Nikimwingiza ndani TK sehemu ilipokuwa ikifanyika shooting baada ya kumpokea ili aje atizame jinsi kijana ninavyosukuma gurudumu hili la filam

Mapozi ya picha The great na TK.

The great na Dada Sanura toka dernmark mara baada ya kumaliza kushoot vizuri scene niliyompatia,tukapata picha ya pamoja.

DR.Cheni nae alikuepo katika kutembeleana na kutiana moyo shooting akiwa tayari anakaribia kuingiza movie yake mpya ya One by One,hapa akipata picha na Teddy Kalonga.

Dada Sanura akishoot sasa kama make up artist wa Aunty Ezekiel katika movie hii ambayo Aunty anashoot kama celebrity flani ktk uanamitindo

Sanura Hussein Twalib akiwa makini sana katika scene akifanya kama vile nilivyomwelekeza bila ya kukosea

Shooting ikiendelea huku Lusubiro cameraman na the big editor Stafford wakiwa makini sana kwa kila kipengele.

The great sasa nikiwa mbele ya camera nikifanya vile Mungu alivyoniagiza hapa duniani hivyo ilinibidi nimuweke Stafford ashirikiane na Lusubiro katika kuhakikisha picha inakuwa nzuri maana nikiwa mbele ya camera siwezi kuona monitor hivyo lazima awepo mtu wa kunisaidia kidogo.

Nikiwa katikati ya scene nikiitendea haki movie

Wakati matukio yote hayo yanafanyika mwanamziki maarufu wa FM ACADEMIA na Actor anayekuja kwa kasi Patcho Mwamba alikuwa hana habari yeye alikuwa kauchapa usingizi vizuuuri akaona kama noma na iwe noma hata mimi bosi wake nikimuona.

5 comments:

Amina Zangira said...

mmpendeza na tk,sanura nae yuko juu utauza kaka sura inalipa

Albert said...

Vizuri sana kaka The Great, tunafurahishwa na jinsi unavyowashirikisha watu mabalimbali kwenye Movies zako, hii inaonyesha kwamba "Kanumba The Film" haina ubaguzi wowote!
Endelea Kaka, na utuandalie vitu vizuri sana kuzidi vya mwanzo...
Albert, Western Australia.

Anonymous said...

kaka uyu mshikaji mwamba lazima yy azimike c unajua night ngwasuma mchana libeneke la muvi.big up the kanumba.mungu atakuongoza ila usikate tamaa.

Anonymous said...

jamani uyu dada sanura ni mzuri sana yaani ametulia jicho ndio usiseme.vp uyo dada kanumba ashaolewa nini maana nimezimika kabisa...au vp?

Anonymous said...

doh kumbe TK ni kifaa hivi!