Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 30, 2010

UZINDUZI WA LOVELY GAMBLE WAFANA SAAAAANA

The great nilipewa certificate of appreciation kwa mchango wangu wa kufanikisha film ya Lovely gamble.wengine waliopata ni Ankal,Mecky Macha,Frank Eyembe,MR.Allan Kalinga na Mashujaa pub.

JB,DR.CHENI NA MZEE CHILLO WAKICHEZA KISIGINO


MZEE CHILLO.AUNTY,MR&MRS SAMEER TOKA PILIPILI ENTERTAINMENT NAO WALIKUEPO

BIG PRODUCER WA MOVIE TOKA UK MR ALLAN KALINGA(KATIKATI)AKICHEKA PAMOJA NA THE BIG TWO.KUSHOTO NA KULIA

TWANGA PEPETA WALITOA BURUDANI YA NGUVU SANA

SWAHIBA WANGU GADNER AKIWASILI KATIKA RED CARPET ILIYOKUWA IMEANDALIWA KWA AJILI YA MASTAA TU AKADAKWA NA SAUDA MWILIMA KWA MAHOJIANO

DADA YANGU WA UKWELI LADY JAY DEE NA SAJENTY MARA BAADA YA KUMALIZA KUPITA KATIKA RED CARPET WAKAWA WANAPATA MAPICHA


ULIKUWA LAZIMA UKIPITA KATIKA RED CARPET UHOJIWE KIDOGO KUHUSU PAMBA ULIZOPIGA NANI KAKUBUNIA PIA UNASEMAJE KUHUSU LOVELY GAMBLE MOVIE

ASHA BARAKA NA ALLAN KALINGA BAADA YA KUPITA KATIKA RED CARPET WANAHIJIWA NA MTANGAZAJI MAARUFU SAUDA TOKA STAR TV

RIYAMA NA THE GREAT KATIKA PICHA NJE KABLA YA KUINGIA NDANI

THE GREAT NILIKUWA NA ULINZI MKALI SANA


HAPA NDIPO LINAPOKAMILIKA JINA LA THE GREAT PIONEER NIKIWASILI UKUMBINI TOKA KATIKA USAFIRI ULIONILETA WA LIMOZINI YA UKWELI NIKAKANYAGA RED CARPET KWA PICHA NA MAHOJIANO KADHA WA KADHA HAKIKA ILIPENDEZA SASA TWASUBIRI UZINDUZI WA HUKO UK-READING TAREHE 29 MWEZI UJAO SIJUI KAMA WATAWEZA KUTUFUNIKA SISI HUKO NGOJA TUONE MAANA MPAKA SASA HAPA BONGO TUMEFUNIKA ILE MBAYA KAZI KWENU WAZEE WA UK,WAZEE LONDON,WAZEE WA LEICESTER,WAZEE WA READING TWASUBIRI TUONE

4 comments:

Anonymous said...

Hongera sana the great K pamoja nawote mlowakilisha katika mambo ya uzinduzi wa lovely gamble, kiukweli ilipendeza sana sikujua na sisi wabongo tumo kwa mambo mazuri, hongerani sani tunasubir sasa movie yenyewe kwa bhamu kubwa, big up the great K.

Anonymous said...

Jamani Kanumba wetu hebu wape ushauri hao wadada waliojichubua duh!kwa kweli hawapendezi hata kidogo!

Anonymous said...

songa mbele, mazuri yako mbele; hatasisitulio inje ya bala la afrika tunafurahishwa sana na utendaji kazi munao tenda. kaza buti mwanaume.

Anonymous said...

SUDA MWILIMA HIYO MIPODAAA...PTUUU