Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 28, 2010

KAZI NDIO YAMALIZIKA SASA NA PILIPILI ENTRNTM...

SCENE ZA MWISO MWISHO KUMALIZA MOVIE

MLELA,MONA,MZEE CHILLO,JANET WAKIWEKA POZI LA KUMALIZA MOVIE


HIVI NI VITUKO VYA YUSUPH MLELA FURAHA YA KUMALIZA MOVIE

MLELA ALIMNYANG'ANYA MONALISA MKANDA WAKE WA KIUNONI WA KIKE NA KUVAA YEYE BASI IKAWA BURUDANI


KATIKATI YA SCENE VIJANA WAKAAMUA KUPOZA KOO KWANZA

AUNTY AKIFANYIWA MAKE UP NA VINOD


YUSUPH MLELA NA AUNTY KAZINI

AUNTY AKIFANTIWA MAKE UP HADI MIKONO NA SHINGO HII SI KAWAIDA KWETU MAANA TUMESHAZOEA KUPAKA MAKE UP USONI TU

1 comment:

Anonymous said...

Safi sana sio make up zenu za kutu danganya nilimwambia The greatest ampeleke Mainda akasomee kutumia make up akaniona mzushi na wewe ukianzisha kampuni yako hayo ndio ya kuzingatia, Wadosi wako mbali sana kwenye tasnia ya filamu walianza siku nyingi mno nasasa wamepiga hatua kubwa sana