Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 8, 2010

THE GREAT NA AY LIVE MAENEO YA BEST BITE

Tukibadilishana mawazo mbalimbali na salamu kwa wingi.

AY akiniambia kuwa The great punguza kasi ndugu yangu yani nimepiga tangazo la kampuni fulani ya simu ambayo matangazo yanaonekana barabarani sijakaa sawa nikakuona na wewe The great ukiwa katika matangazo ya kampuni ingine ya simu.

Hapa The great nikimwambia AY punguza kasi ndugu maana kila idara upo.

Eti hapo tukishauriana kuwa nishirikishe katika nyimbo zako uone nitakavyokufunika nae AY akisema nimshirikishe katika movie nione atakavyonipoteza vibaya basi ikawa vuta nikuvute.

Hapa nilimkumbusha tukio fulani lililowai kunitokea baina yangu na yeye nusu lizue uhasama lakini kijana alinitaka nimlipe kiasi fulani cha pesa ili kumaliza mzozo nami nilifanya hivyo basi kesi ikaisha,kuna kipande fulani cha wimbo wake kilisikika katika movie yangu moja basi tukakaa chini tukayamaliza.

3 comments:

Bazizane said...

Well done AY

Anonymous said...

Kanumba kwakweli huwa una mvuto sana. Mie huwa nakupenda sana japo najua we hunijui ila kila nikikuona huwa navutiwa sana nawe.

Mariam.

Albert said...

Nashukuru sana kwa Blog yako Bwana the Great kwa kuwa imenikumbusha huu jamaa, AY. Yaani namuamini sana na nilikua nimeonana mara yangu ya mwisho kabisa imepita kama miaka sita hivi kabla sijahamia Australia. Lakini anyway ukionana nae tena umwambi ninampa hi ijapokua hanijui.
Albert, Western Australia.