Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 4, 2010

THE GREAT APATA MWALIKO WA KULA CHAKULA CHA PAMOJA NA KAMPUNI YA PILIPILI ENTERNMENT TZ LTD

The great nikijichana msosi na wafanyakazi wa kampuni ya Pilipili enternment ambayo karibia wote asili yao ni India mara baada ya kikao walichoniitia kumalizika.

Kushoto kwangu ni Mr.Samm na mkewe ambaye ndiye mkurugenzi wa kampuni hiyo.

Kama kawaida yangu katika kipengele hiki huwa sina ugeni

Nikiweka mishikaki ili ubwabwa na kuku vitelemke vizuri hakika chakula kiliandaliwa vyema

Crew ya Pilipili enternment nayo ikijinafasi taratibu mara baada ya kunionesha baadhi ya kazi wanazofanya hapo.

4 comments:

Albert said...

Vizuri sana Kaka Kanumba. Kumbe ndiyo maana na kazi zako zinakua nzuri sana na kugusa hisia za wengi.Ni vizuri sana kuupa mwili wako chakula bila kufanya kosa!
Lakini tunahitaji kuyaona mapya kutoka kwako kwenye screen zetu, unajua ni kiasi gani tumeku miss?
Wacha bwana, jitahidi utupe mambo.
Albert, Western Australia.

Amina Zangira said...

uko juu kijana kaza buti tunasuburi movieyako na gwantwa.

Thomas said...

Hongera kanumba, unafanya vizuri sana. kazi zako ni nzuri na mimi nishabiki wako mkubwa sidhani kama kuna picha ulicheza sijanunua , zote ninazo mpaka hii ya magic house.

hao jamaa hawana ukarimu wowote, wahindi wanakukarimu wanajua siku moja watavuna toka kwako, hapo wanataka ufanye nao kazi. hakuna kingine.

BabyAmore said...

Umependeza ile kinoma, kazi nzuri kaza buti.