Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 24, 2010

MAMBO BADO LOCATION NA PILIPILI ENT.

NIKISUBIRIA ACTION NIANZE

CHECK HIYO TAA NI KUBWA SANA KTK KUTOA MWANGA


HIVI NI BAADHI YA VIFAA VYAO SHOOTING


BREAK TIME

KAZI HII INAITAJI WITO


HII GARI IMESIMAMA IKITIKISWA NAMI NAACT LAKINI GARI HAIENDI POPOTE LAKINI WAKATI WA EDITING GARI ITAONEKANA INAKIMBIA SANA HAYO NI MAMBO YA TECHNOLOGIAKWA MBELE INAVYOONEKANA

THE GREAT KAZINI


CHECK HIYO TAA NINAYOSEMA UWEZO WAKE NI MKUBWA MNO NI ZAIDI YA TAA 3 ZA KAWAIDA TUNAZOTUMIA KTK SHOOTING ZETU ZA KAWAIDAHILO JANI LINAPITISHWA KATIKA TAA HAPO KUNA MAANA YAKE YAANI GARI INATINGISHWA NA JANI LINAPITISHWA HAPO BASI INAONEKANA GARI LIKIKATIZA PORINI KWA KASI

4 comments:

kaiya said...

Kanumba nimekuwa nikifatilia mlolongo mzima wa hii shooting yenu na bado naendelea kufatilia. kwanza nikupongeze kwa kupata hiyo nafasi ya kufanya kazi na hawa watu kwani mpaka mtakapomaliza filamu utakuwa umejifunza mengi.
pili nikusifu kwa kukiri kuwa wenzenu wanafanya kazi kitaaluma zaidi na hawabahatishi. sasa changamoto kwako ni kufanya kazi na watu wenye taaluma za filamu wewe mtu mmoja huwezi kuwa actor, director, producer, cameraman sijui editor jamani hiyo filamu itakuwa filamu au maigizo. natumai utayafanyia kazi hayo mafunzo unayoyapata hapo. all the best

Majoy said...

mm pia nimekua nikifatilia sana kazi zako the great! nakupongeza kwa kazi nzuri na pia natamani sana nije kuona hiyo muvi unayoigiza chini ya pilipili ent nafikiri itakua bomba sana maana kwa jinsi unavyoizungumzia mtu unapata hamu ya kuiona.
kila la kheri u are real the great!!!

filongwe - Norway said...

kaka kanumba mimi ni mmoja wa wapenzi wako wa filamu zako kweli kaka upo juu Pia nianfuatilia kwa makini shooting yako na pilipili kweli naamni utazidi kujiimarisha zaidi nakuombea MUNGU azidi kukupa afya njeme ili uzidi kuwa juu.

Anonymous said...

That very true Kaiya,
mimi hilo swala la mtu mmoja majukumu mia lilikuwa linaniumiza kichwa sana kwa hawa wasanii wenzetu.
nami naungana na wewe kuwa Kanumba na wenzie watakuwa wamejifunza sana.