Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 9, 2010

FRANK EYEMBE NA MR.ALLAN KALINGA UK WAZIDI KUWEKA MAMBO SAWA JUU YA UZINDUZI WA MOVIE YA LOVELY GAMBLE UINGEREZA

Frank eyembe a.k.a mzee wa nyuki katika pozi ni mmoja wa ma producer wa movie hii ya Lovely Gamble inayotarajiwa kuzinduliwa UK hivi karibuni jamani tukae mkao wa kula.

Interview mbalimbali zimeshaanza kwa ajili ya uzinduzi,mwenye koti kulia ndiye director wa movie hiyo Mr.Rennison Omweka

Director Renny akihojiwa jinsi namna gani alivyoweza kuidirect movie hii ya kimataifa vizuri.Huku mzee wa nyuki akiangalia katika monitor.

Renny the big director akihojiwa,The great nakupa big up, Congratulation my brother u did a nice job.

Akijaribu kusimamia hata mahojiano mbalimbali ya movie

Mzee wa nyuki akiwa katika studio yake walipokuwa wakitengeneza soundtrack za movie hii maeneo ya Reading-UK,kushoto ni Timmy kulia ni John wote hao no proffessional sound engineer.

Mzee wa nyuki Frank Eyembe na The great pioneer maeneo ya New vicent restaurant-reading UK.

Hii ni siku nilipotua UK kwa ajili ya kuanza shooting ya movie hii ambapo mzee wa nyuki yeye aliingia ndani kabisa airport kunishoot ninavyooingia.

MR.Allan Kalinga kushoto anayeongea ni moja wa ma producer wakuu wa movie hii hapa alikuwa katika shughuli zake za kiserikali na jamii,Mr.Allan Kalinga ametoa mchango mkubwa sana katika kuifanya movie hii iwe bora na mpaka sasa yeye na mzee wa nyuki wakishirikiana na Mkurugenzi wa Aset Asha baraka hapa bongo wanazidi kuumiza kichwa jinsi ya kuboresha uzinduzi huo ambao utafanyika UK na TZ

3 comments:

Albert said...

Lakini hii movie tumekaa tukiisubiri mpaka tumechoka kabisa! Fanyeni haraka basi mtuletee tuwe tunaburudika na mambo Bwana Kanumba!
Albert,
Western Australia.

Anonymous said...

nice job k

Anonymous said...

Huyo dada anaefanya interivie si Jestina? Kazi nzuri sana dada. Na blog yake ni missjestinageorge.blogspot.com