Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 3, 2010

KIJANA WANGU NA DESIGNER WA WEBSITE NA BLOG YANGU NICHOLAUS MTAWA ATEMBELEA MADUKA YA ZIZZOU FASHION AMBAYO NDIO SPONSER MKUBWA WA BLOG HII.

Kutokana na kipindi hiki cha sikukuu maduka ya ZIZZOU FASHION YA SINZA NA VICTORIA hapa DSM yamempatia nafasi kijana wangu ambaye ndiye huiweka hii blog yangu katika hali nzuri kama mnavyoiona pia na website yangu kufanya shoping ya nguvu katika maduka haya ili katika sikukuu awe katika mng'aro wa aina yake,NICHOLUS ndiye huruhusu comments zote za blog na website yangu na kuzuia zile zisizo na maadili kwa taifa letu na jamii kwa ujumla.Kijana huyu ni mchawi wa computer hata katika kutengeneza cover mbalimbali za matukio na movie. Akichagua kwa makini sana.

Akijisikia raha sana kwa nafasi aliyopata ya kushop pamba za ukweli

Akichagua raba

Nadhani hiki kitanifaa akakichukua.

2 comments:

Anonymous said...

ok kumbe ndio huyu kijana anabana comments zetu.. oky powa kabisa..mnabada commenst fulani na mnaegemea pande fulani.. angalieni tu kwa blog nyingine wanaweka comments zote haijalishi kuwa inamponda mwenye blog au la..najua hii itawekwa kapuni kama nilivyo tangulia kusema awali..

Anonymous said...

Nic ha ha ha ha unanichekesha sana.Sasa ndugu yangu kwanini huwa unabana comment?!Ni yule yule unayemjua niite...
Yusuph