Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 18, 2010

KAZI IMEPAMBA MOTO JAMANI

Hapa scene ikiendelea hakika najivunia kukutana tena na Monalisa katika movie ingine kama hii mara ya kwanza niliigiza nae movie ya MY SISTER tukiwa na wanaijeria ilikuwa ya kiingereza na kiukweli tulijitaidi na Mona kama kawaida yake alifunika na akawa tishio kwa wanaijeria mwaka 2006 toka hapo hatujawai kuigiza wote tena hadi leo 2010 tumekutana katika PAY BACK na Monalisa bado ni moto sana.

Mara nyingi mimi na Monalisa huwa tunapenda kubuni kitu kipya kabisa ambacho hakijachezwa na yoyote katika historia ya movie bongo kama unavyoona hapo,hii ni moja ya scene ambayo iliwavutia wengi sana wakati tunashoot.


Hii ni staili ya aina yake ya kula hindi kwa wapenzi hakuna haja ya kulikata kugawana

Haya yote yamo humu katika movie hii ya PAY BACK.

Ulishaona dafu likiliwa kwa milija?niliipenda sana hii scene

Hapa ni mchana lakini taa zimewashwa tena taa kubwa tatu unafikiri ni kwanini?hili ni swali ambalo hata ukiwauliza baadhi ya directors na lightman wetu bongo wanaweza wasikujibu,kama unabisha fanya uchunguzi sasahivi.zipo sababu kadhaa lakini iliyo kuu ni kubalance mwanga maana wakati fulani mwanga wa jua utokea na kuondoka au kutokuwa katika hali moja mda wote hivyo kwa kufanya hivyo unabalance uwepo sawa mda wote wa kushoot scene.


montages za mapenzi hakika monalisa bado ni moto wa kuotea mbaliYusuph Mlela na Mjusi mapozi baada ya kumaliza kushoot scene yao kali sana


Hapa The great nilikuwa nakamua kisawasawa mbele ya kamera hivyo kila mtu location aliisogelea monitor kutizama kiwango cha ajabu ninachokionesha baada ya scene kuisha hapo kila mtu alinipigia makofi,madirector walinikumbatia kwa pongezi.

Hii ni montage katika movie

Kama watoto vile lakini ndio kazi tena

Imezoeleka kwa watoto tena familia bora wanaoenda sana beach ila kwa sisi hapa twashoot montages za mapenzi katika movie.

Interesting....?

Niko kazini hapo wala sio mapozi

Tizama scene hii ninayeshoot ni mimi mtu mmoja lakini crew inayohakikisha scene iko nzuri ni zaidi ya kumi na kila mtu na kazi yake hapo kwangu,hawa jamaa wanafanya kazi sana hakika kuna vitu vizuri najifunza toka kwao maana elimu haina mwisho na sio lazima uwe darasani hata mazingira ukupa mwangaza na elimu tosha juu ya kazi yako.

Tizama hapa mwanga wa jua unavyorekebishwa ili picha isiungue lakini pia palipo na mwanga mkali wa jua binadamu huwa tunakunja sura na macho kuwa madogo hivyo director hakutaka hali hiyo hivyo nikafanyiwa haya maarifa ya kitaalamu.big up pilipili entertainment co ltd.

9 comments:

ngaizaskids said...

wow kazi njema ingekuwa mimi ndo ningefumba kabisa kwani mi na mwanga vi2 viwili tofauti. ksazi njema ngoja tusubili vitu hivyo.

Anonymous said...

dah dafu kuliwa na mrija ni kawaida huku india kaka.

Anonymous said...

monalisa ni mdada mzuri sana kila nimuangaliapo huwa sichoki kumuona yaani mhmm km ana mtoto big up mama kwa kujitunza kiasi hicho na kusamini mwili wako
mdau hyderabad india

Anonymous said...

mcumu mchum mwaaaa mchumu teena mchumu mwaaaaa alamba alamba ham ham ham mchumu uyoooo monalisa ,mwaaaa

Anonymous said...

mcumu mchum mwaaaa mchumu teena mchumu mwaaaaa alamba alamba ham ham ham mchumu uyoooo monalisa ,mwaaaa

Fadhy Mtanga said...

Big up sana kaka. Kazi zako zipo superb. Umeipeleka film industry ya kibongo level nyingine. Don't care those struggling to hold u back. Carry it on.
Pamoko sana.

MWANA DAR said...

SEMA MIRIJA, SIYO MILIJA. KUKAA KOTE MJINI BADO UNA KISWAHILI KIBOVU. KWELI ASILI HAIJIFICHI

Anonymous said...

Hi Steven, naona mmependeza sana na Monalisha. Mimi nilikuwa na shida brother, niliona picha yako unayo polishi meno, pia na lezi za macho, unaweza kutueleza je meno ni wapi, na lenzi ni wapi. natumaini utatusaidia wengi kwani wewe sio mchoyo. Asante

Anonymous said...

kaka unajitahid n utaratib wako nimeupenda sana w kuzindua filam yako mpya.nimefurah kuckia kuw dully naye atakuwepo kip it mkubwa bt y ww kwny blog yko hamna picha za ray wkt mchz yeye anakuweka mbona unatujengea picha mbaya mashabik wwenu.emmer frm saut university tz.