Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 11, 2010

JERRY MURO NA THE GREAT WAKUTANA LEADERS CLUB KATIKA BONANZA NA KUTETA KWA MDA KIDOGO.

Katika bonanza letu la wasanii wa filamu linalofanyika kila siku za jumamosi leaders club,siku ya jana nilikutana na Jerry Muro mwanahabari mashuhuri na kupata wakati wa kuteta mambo kadhaa kuhusu maisha yetu sisi vijana,alinisifia sana kwa kazi zangu akasema Marekani katika jimbo fulani kuna mashabiki wangu wa ukweli toka moyoni ambao kila siku wanaomba itokee siku niwatembelee,nami pia nilimpa pole kwa misukosuko iliyompata na inayozidi kumpata tukatiana moyo ili tuzidi kulisukuma gurudumu.Jerry Muro na The great kwa pamoja baada ya mazungumzo.

3 comments:

Anonymous said...

big up Jerry

ges said...

big up Jerry,pole kwa matatizo,yataisha tu usijali.

tweety said...

pole sana Jerry na uwe makini sana hao watu si wazuri kwako