Filamu iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu Lovely Gamble imezinduliwa kwa waandishi wa habari leo tarehe 20.4.2010 pale Muchmore kama maandalizi ya uzinduzi wenyewe utakaofanyika tarehe 28.4.2010 Billcanas club si pa kukosa jamani Steven Kanumba mwenyewe ntakuepo mapema kuanzia saa 3 usiku.karibuni sana.
Cover ya movie kushoto ni mbele itakavyoonekana na kulia ni nyuma itakavyoonekana
Cover ya movie kushoto ni mbele itakavyoonekana na kulia ni nyuma itakavyoonekana





1 comment:
Hivi Kanumba katika ile movie ya Pay Back kuna mziki wa country unasikika mwanzoni na mara kwa mara kama background sound, ni ngoma gani na imeimbwa na nani vile?
It's me Lucas
Post a Comment