Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 10, 2010

BEHIND THE SCENE ZA WHITE MARIA MOVIE

The great na asha


katika scene ya majonzi

matatizo katika familia yamezidi sijui nifanye nini?

ushauri wa watu mbalimbali

The great na Sandra kazini

Pastor myamba akiomba kuondoa nuksi nyumbani

scene ya ofisini


the great na dada maya

kifamilia zaidi katika scene baba,mama,watoto

huyu white maria kaisakama sana familia yetu....why??


The great pioneer katika montages

16 comments:

Princelee said...

Safi sana kamanda movies zako zimetulia sana.Dello

Anonymous said...

jamani inatoka lini hii kitu?i cant wait to see it,love u wema n kanumba mwaah!!!!!!!!!!

Anonymous said...

Inaonekana ni moto itatoka lini? nampenda wema jamani sijui kwa nn anakua anaadikwa kwa mabaya tu jamani? wewe mzuri wema tulia

Anonymous said...

Inapendeza sana daa i wish you have a reel family, you and Wema aahh very cute.

mashaka said...

Kaka msema kweli muungwana baada ya shooting kwisha lazima ulikumbushia unaeleweka k

Anonymous said...

Kanumba nadhani ungekuwa mimi ningefanya mbinu zoote Wema akawa mke wangu wa maisha,Kwa maana inavyooonekana movie zenu kama mke na mume zinapendeza saaaaana.Na ukiangalia wema na wewe mnapendwa na watu weengi kila pande za dunia.Inatakiwa tatizo linalojitokeza kati yenu lipatiwe dawa mrudiane lasmi.Imenifurahisha sana kuona umetoa movie tena na kipenzi chako wema.duh!! Hii movie itakuingizia hela vyakutosha.Mdau wa Amsterdam.

Ahaz said...

Kanumba! I wish you knew how much i would love to see you having a wife for life! Wema was well deserving to be your ubavu! But yote huwa tunamwachia Mungu! Nakuombea mdogo wangu!

miss annie said...

yaani nimefurahi saana mlivyosameheana na kuigiza muvi pamoja,kwa nini msirudiane,inaonyesha bado mnapendaana sana,acheni walimwengu,kaeni chini myamalize au vipi kanumba?

Anonymous said...

Kanumba naungana na mdau, hakuna binadamu aliyemkamilifu, msamehe Wema awe mkeo mtapendeza sana, na mtafika mbali

Anonymous said...

Kanumba naungana na mdau, hakuna binadamu aliyemkamilifu, msamehe Wema awe mkeo mtapendeza sana, na mtafika mbali

Anonymous said...

Kanumba naungana na mdau, hakuna binadamu aliyemkamilifu, msamehe Wema awe mkeo mtapendeza sana, na mtafika mbali

Zainab said...

Kanumba mi ni fan wako mkubwa nimeshaona almost movie zako zote.. na siav nimenunua Lovely gamble nasubiria wekeend niiangalie...
Sasa kaka yangu mimi kwakweli siojavutiwa na uvaaji wako.. mavazi yako ni ya kipedejhee sana.. hebu basi jaribu kubadili mtazamo kama unavaa smart uwe unavaa mavazi elegeant hebu jaribu kufuatilia mavazi ya wacheza snema wa ughaibuni kama brad pitty, am hat willy smith.. nadhani una mwili mzuri sana ila hayo mashati ya silk ya pink na kijani nyingi si mimi tu pekee ila fans wako wengi hawavutiwi.. ni ushauri tu kaka yangu. ungeliangalia hilo kwa kina.. wewe ni handsome vaa vizuri kama handsome man. hebu jaribu kucheki kwenye blog ya sheria na mavazi anatoa mpangilio mavazi kila siku na mazuri ya vijana wadogo kama wewe... ni hayo tu kaka

sophia said...

Bomba sana kanumba umebadilisha camera basi pcha zako zinaonekana bomba na mvuto wa hali ya juu,

Anonymous said...

Jamani hizo kijani na pinck za kanumba ni kwa sababu ni msukuma bila ya rangi kuwa ya pyeeeeeeeeeeee msukuma havai

Anonymous said...

Jamani hizo kijani na pinck za kanumba ni kwa sababu ni msukuma bila ya rangi kuwa ya pyeeeeeeeeeeee msukuma havai

Anonymous said...

kanumba na wema aaaaaaaaaaah hii ingekuwa mume mke kweli its lovely jamani lool mpaka natamani.kanumba hakuna mkamilifu chini ya jua hata huyo utakayeoa atakuwa na mapungufu.sameheaneni jamani mwapendeza kupita kiasi.kanumba wema ndio type ya mke unayetakiwa kuwa nae im telling you my dear brother