Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 15, 2010

HI.... FROM NKIRU SYLVANUS a.k.a bleble(NIGERIA)

Leo usiku nilikuwa nikichart na rafiki yangu kutoka nigeria ambaye ni star wa movie huko na nimeshafanya nae kazi kadhaa za movie Miss Nkiru sylvanus kuhusu mambo mbalimbali kuhusu maisha na sanaa kwa ujumla katika kuagana akaniomba sana nifikishe salamu zake za dhati kwenu hasa mashabiki wake wa ukweli.Nkiru mwaka 2006 aliwai kuwa hapa na wenzake mercy johnson,Emmanuel France,na Femi ogedegbe toka huko nigeria ambao nilifanya nao kazi kadhaa na nzuri ambazo zilifungua milango na ukaribu kati yetu na wanaijeria katika movie industry.Mungu akipenda Nkiru anaweza kutua hapa nchini kwa ajili ya kupiga kazi na mimi katika movie fulani iwapo mipango itakwenda sawa mara baada ya msanii huyu kutoka Africa kusini ambako atakwenda kutizama kombe la dunia.kila kitu kupitia blog yenu hii nitawajulisha. Nkiru sylvanus(mabella) katika poziiiiiiiii

mabella we do miss u alot..Hii ndio filamu iliyomtangaza sana na kumpa jina la BLEBLE inaitwa A cry for help..humu ndipo alipodhihirisha kuwa yeye ni malkia wa machozi.
Hii ni movie niliyowai kufanya nae kazi mwaka 2006(cross my sin)alicheza kama dada yangu mimi kama padri


MY SISTER ni movie ingine niliyowai kufanya nae ambapo alicheza kama kimada wangu aliyenifanya nimsaliti mke wangu
THE DIRECTOR pia ni kazi ingine niliyofanya nae hapa alicheza kama msanii wangu wakati mimi nilicheza kama director wake katika movie

1 comment:

Anonymous said...

Shez good Actor put with Wema tuone maana wote katk nmajonzi mmmh I swear utaiuza.Cant wait to see her with Wema plus UUUU...Mdau USA