Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 24, 2010

THE GREAT NA LISA JENSEN

Leo nilikutana na Lisa Jensen kwa maongezi maalum kuhusu kazi,nimeshafanya nae movie moja ya UNFORTUNATE LOVE,na sasa chini ya KANUMBA THE GREAT FILMS tuko katika maongezi na Lisa ili apige movie yangu ingine mpya nitakayoianza hivi karibuni,tukifikia makubaliano mtamuona Lisa shooting ambae baada ya mzigo huu ataelekea India kuendelea na kazi zake za modeling. hapa nikimsimulia story ilivyo na yeye akichangia mada

akisifia story jinsi inavyoliza

akinisikiliza kwa makini mpaka sura yake ikawa inafata hisia za ninayomsimulia

nikiendelea kumpa uhondo wa hadithi ilivyo

huwa ni kawaida yangu nikishamsimulia msanii story ilivyo namuuliza ameelewaje?ndivyo nilivyofanya hapo na Lisa akinielezea jinsi alivyoelewa

3 comments:

Albert said...

Yes, ni kweli The great, ukimtumia Lisa kwenye movie nafikiri sio mbaya sana ijapokua kiwango chake cha kuigiza hakilingani na cha Aunty au Irene naamini ukiendelea kufanya nae kazi basi ata improve! Kwenye UNFORTUNATE LOVE alijitahidi kidogo na naamini kwamba this time anaweza akafanya vizuri kuliko mwazo.
Kila la heri Lisa na Kanumba The Great Film.
Albert
Perth, Western Australia.

preciuos said...

hi kaka me namkubali sana lisa hauzi sura anaanya kazi yani ukifanya kazi naamini itakua poa zaid bg up 2ya ol n ol da bast bro

Anonymous said...

mmmhhhhhhhhhh
lov u!!!!