Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 29, 2010

SUPRISE YA ADOLPH DOMINGUEZ KWA THE GREAT

Katikati ya wimbo msanii huyu alisimamisha kuimba na kuniita mwanzoni nilidhani kakosea jina lakini alizidi kusisitiza kuwa namuomba yule mucheza movie wa hapa akataja tena jina Steve Kanumba,nikaenda mbele nae akasema hivi nanukuu...''Njo vile huyu jamaa anatafutwa sana Congo,vile namuonaga ku movie Congo wanamupenda sana mimi nitapeleka yeye Congo,napeleka yeye ZENITH wanamuona wanafurai sana steve kanumba'' mara nilipofika mbele nae ndio akaanza kuongea nikagundua kuwa sanaa inatembea sana nilidhani mimi tu ndio namjua kwa mziki wake toka wenge musica kumbe hata yeye anaona kazi zangu twajuana ila hatujawai onana tu.

''mimi napeleka yeye congo,napeleka zenith......akisema

Gafla tukawa marafiki na baada ya kumaliza kutumbuiza tukabadilishana namba za simu

hapa aliniita tena akiwa na swali anataka kuniuliza juu ya movie na tangazo fulani congo.

tukazidi kupeana mawasiliano mengine zaidi ili baadae tukae tujue tunafanya nini katika sanaa zetu hizi.

8 comments:

Mashaka said...

wewe babu yako kafariki juzi hata kuzika hujaenda unaendekeza sterehe au umekosa nauli?

lema one said...

MI NILITAKA KUULIZA SWALI HILO ILO THE GREAT KWANI UMESHAZIKA MBONA PICHA ZA MAZISHI ATUONIIIIII MMMH KAKA WE M2 MZIMA SASA TUPE UKWELI HUMU HUMU

Ima (The Designer) said...

Pole kaka kwa kufiwa na babu yako kipenzi bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. kaka uko juu.

Anonymous said...

wewe mtoto umezidi ubishoo, nakwelwa sana na tabia yako ya kupenda kuwapa kipaumbele watu wa nje na kusahau watanzania wenzako, tofauti na Ray hana majidai kama yako

Anonymous said...

we anoy wa 10:42, Kanumba siyo bishoo ila hiyo ni njia anayotumia kutafuta soko la kazi yake nje ya nchi,we unataka akomae na wahapahapa tu wakati wabongo wengne mnawaharibia kwa kukopi kazi zao(fake) mi naona Kanumba yuko sahihi kabisa.

Hadj Drogba "mwana chelsea" said...

ADOLPHE UKIKUCHUKUA CONGO NAOMBA UKIFIKA KULE JITAHIDI AKUKUTANISHE NA KINA JIBE MPIANA,WERRASON NA WENGINE KINA SELE BULLA KATIKA GENERATION YA WENGE,WAAMBIE HIVI,SISI WAPENZI WAO TUNAOMBA WAKUTANE WOOTE HATA WANAOISHI ULAYA KWA SASA KAMA PRINCE MAKABA,ROBERTO WUNDA N.K.THEN WATENGEZE ALBUM MOJA TU PAMOJA WATUPE RAHA.NI HILO TU,HAYO MAMBO YA MSIBA WA BABU SIJUI NINI,NI MAMBO YAKO BINAFSI USIWASIKILIZE,NAAMINI UNAJUA UNACHOKIFANYA WEWE SI MTOTO KIVIIILE,NADHANI KUNA CHEMBECHEMBE ZA WIVU WA KIBONGO HAPO

Anonymous said...

ASANTE SANA HADJ DROGBA MDAU WA KWELI WA WENGE MUSICA

Anonymous said...

Nice fill someone in on and this mail helped me alot in my college assignement. Say thank you you on your information.