Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 8, 2010

BREAKING NEWS...FEMI OGEDEGBE APATA JIKO

Yule director wangu toka nchini NIGERIA aliyewai kunidirect movie kama Dar 2 lagos,My sister,Cross my sin,Hero of the church,Unfortunate love,Ripple of tears,amepata jiko yaani ameoa mchumba wake wa mda mrefu Nkechi Kenneth au Angel kama yeye anavyopenda kumuita,ni mda mrefu Femi alikuwa na mpango wa kuoa hasa baada ya kuona umri unakwenda na bado hajaweka jiko ndani,sasa kaweka ndani,akiwa na mtoto wake aliyemzaa siku nyingi aitwaye WALE mwenye miaka 8 sasa.MY BROTHER CONGRATULATION WISHING U ALL D BEST AND GOD BLESS U,,,AM PROUD OF U.

Huu ni ujumbe wa Femi kwa mke wake(picha juu)...'Angel I have gone around the world searching for love,I have been beaten and disapointed but nature has compensated me with the best,Angel u re my lovely wife'...once again congratulation

2 comments:

Anonymous said...

Sasa kijana Kanumba wewe tutegemee lini?
Umri ndio hivyo unakwenda.

Mdau wa movie zako - China

Anonymous said...

Kanumba wewe vipi?? You are a star in ur own rights why unawafagilia sana Wanaigeria ndugu yangu??

Mdau US