Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 15, 2010

SWAHIBA WANGU AMALIZA VIZURI SHOOTING YA SURPRISE...

Nilitembelea location kumuona swahiba anavyolisukuma gurudumu kama ulivyo utaratibu wetu na nkakuta ndio anamalizia malizia vizuri. chopa kama kawaida yake akiweka pozi la kufuraia kumaliza shooting

mzee wingo,jacqline wolper,the great pioneer,kijana anaekuja kwa kasi katika filamu na swahiba kwa pamoja location.

Jacq wolper,The great na swahiba

me na Mainda akifuraia kumaliza movie ambapo yeye ndie alikuwa make up artist

The great nikiingia location kwa swahiba kumsalimia,hapo nikisalimiana na Chopa mchopanga

1 comment:

julius said...

good and attractive speech concern mr ray aka the greatest