Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 12, 2010

MORE BEHIND THE SCENE ZA WHITE MARIA MOVIE.....

KUNA KITU NATAKA NIKIWEKE WAZI HAPA KWA MASHABIKI WANGU WOTE MOVIE HII HAIHUSIANI NA MAHUSIANO YOYOTE YA KIMAPENZI BAINA YANGU NA WEMA KAMA ILIVYOANZA KUELEWEKA SASA,NAMANISHA HAKUNA MAPENZI YOYOTE AU UHUSIANO WOWOTE NJE YA MOVIE PIA MOVIE HII NIMESHOOT MWAKA 2008 ILA KUTOKANA NA TECHNOLOGIA ILIYOKUWA INATAKIWA KATIKA EDITING ILI KUPENDEZESHA MOVIE NDIO MAANA IMECHUKUA MDA KUTOKA NAOMBA IELEWEKE HIVYO....NI FILAMU NZURI SANA INAYOZUNGUMZIA ATHARI ZA WANAUME KUNG'ANG'ANIZA KUWATOA MIMBA WAPENZI WAO NI FUNDISHO KUBWA SANA KWA FAMILIA NA SISI VIJANA...SI YA KUKOSA. Wana familia tukijadili tatizo lililoikumba familia yetu


Pastor myamba akitoa ushauri juu ya nini kifanyike katika ndoa

the great nikiongea na secretary wangu maya kumbe white maria yuko pembeni yangu aliyekuja kimiujiza

maluweluwe kazini narudi home kujadili kifamilia zaidi


wapi nielekee kwa mganga au kanisani?


mapoziiiiiiiii baada ya kazimawazo tele hadi usingizi barabarani katikati ya barabara jinsi white maria anavyosumbua maisha yangu na familia yangu..


unapofika home bila kujitambua alafu unawapa mawazo watu wengine


.....hivi ni nini kinachomsumbua mbona simwelewi kabisa huyu.....??


nikijiuliza msalaba nimetolea wapi huu???


vipi hapo unapolala usiku asubuhi unajikuta polini umefungwa nyororo?????si ya kukosa nitawaletea picha nyingine zaidi za matukio..

8 comments:

Anonymous said...

real naongea toka moyoni kwangu, kanumba ukicheza na wema mnapendeza sana, wema ni actress mzuri sana na anafit sehemu yeyote ile, mkanda wenu wa red valentine, sichoki kuungalia kila iitwapo leo, wema ameonyesha kipaji cha mwisho, yani hakuna cha aunt ezekiel, uwoya wala nani,
kwa upande wa viapaji wema yuko juu, sema tabia yake ndio inamchafua, ila mimi kama mimi namfagilia kichizi, na nampenda sana, mimi pia nimeanda filam yangu, nataka nimshirikishe itakapokuwa teyar, sasa sijui kama atakubali au atanitupa. sijajua tabia yake bado
ila tuma salamu zangu kwamba, nafagilia sana kazi yake,
pia tuambie haraka hii film yenu itakamilika lini, mnatudorishia tu!
violet

Anonymous said...

real naongea toka moyoni kwangu, kanumba ukicheza na wema mnapendeza sana, wema ni actress mzuri sana na anafit sehemu yeyote ile, mkanda wenu wa red valentine, sichoki kuungalia kila iitwapo leo, wema ameonyesha kipaji cha mwisho, yani hakuna cha aunt ezekiel, uwoya wala nani,
kwa upande wa viapaji wema yuko juu, sema tabia yake ndio inamchafua, ila mimi kama mimi namfagilia kichizi, na nampenda sana, mimi pia nimeanda filam yangu, nataka nimshirikishe itakapokuwa teyar, sasa sijui kama atakubali au atanitupa. sijajua tabia yake bado
ila tuma salamu zangu kwamba, nafagilia sana kazi yake,
pia tuambie haraka hii film yenu itakamilika lini, mnatudorishia tu!
violet

Anonymous said...

kaka suti zimekuvaa hizo, oversize

Anonymous said...

mbona unajihami? hayo hayawahusu watu,hukuhitaji kujieleza,ungeacha watu wabaki na maswali.watu wamefurahi kuwaona pamoja kikazi.do u mean huwezi kufanya tena kazi na wema coz hamna mahusiano?au hao wote mnaofanya nao movie mnamahusiano ya kimapenzi?

Anonymous said...

You guys were making a wounderful coule ktk kuigiza!I dont care km mlikuwa na mahusiano yoyote zaidi..ila kweli Chemistry ilikuwa inakubali,mkiact wewe na Wema!Sijui nini kimewatenganisha jamani.Wema ni muiizaji MZURI sana,kuliko wadada wengi ambao unaigiza nao sasa!I wish mngesahau ya kale mgange yajayo pamoja.
God bless you!

Anonymous said...

Mie namkubali sana Wema katika fani hii ya uigizaji,hakuna mdada anayemfikia kwa hapa bongo,yuko juu sana.

Issa said...

Kanumba naanza kukushauli uwe unajibu maswali ya wadau kulingana na wanavyouliza.Hivi wewe ukiangalia hao wasichana wengine hujagundua tuu kama wema anakipaji ambacho wengi hapo dar hawana?Sisi tunaokwambia hivo ndo wanunuaji wa movie zenu,,mimi nina karibu movie zoote ulizotoa na Ray nina movie zaidi ya mia tatu,,Mimi nadhani wewe huna haja ya kusema kwamba huna mahusiano na wema kwasababu hata siku ulianza mahusiano naye hukutangazia hapa,, sasa kitu ambacho unatakiwa kuzingatia ni maswala ya kikazi tuu,,kama itawezekana kutoa movie na wema!baasi, mengine ya mahusiano hayatuhusu sisi wanunuaji.Wewe turidhishe tu kwakufanya kazi pamoja na WEma sepetu,,inafurahisha mno.Ni mdau wa Amsterdam

Anonymous said...

Sasa Kanumbaa!!! huyu Wema si ndio huyu mlifikishana Kwa Pilato? Tofauti zenu mlizimaliza?

Maana kila mimi nikimuona huyu WEMA nakufikiria wewe na ile kesi hebu tutoe wasiwasi ili tuanze kumpenda. Barikiwa!!!!!