Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 6, 2010

WHITE MARIA NI MWEZI UJAO..PATA NAKALA YAKO ORIGINAL

Movie yangu mpya chini ya game 1st quality tz ltd
3 comments:

Anonymous said...

Yeah Kanumba sie Wadau wako Uk tulikuwa tunasubiri uhondo mwingine uwe na Wema ,U to guyz mna suite maana huyo Mdada namkumbuka ktk Lameck looh dat voice of her ,Mjonge mjongeni haki yake mpeni?Sie Vegeterians hatuna beef na mtu BIG UP Kanumba tunasubiri nyingine chini ya Production yako U and Wema

Anonymous said...

kweli wema ni funika ninampenda sana yaani irene uwoya wala aunt ezekiel hawaoni ndani naomba siku moja aact na hao wanaojiita wasanii wa kike waliopewa tuzo ndo tuone nani funika...Wema oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!we love u no matter what..Kanumba hongera kaka afadhali mfanye kazi sasa beef ziishe

Anonymous said...

Brother Kanumba kama kuna kitu umefanya cha maana ni kuact TENA na dada Wema, unajua watu wanadhani beef ni forever ila for sure hayo ndio maendeleo.Big up WEMA and KANUMA hayo ni maendeleo, u think outside of the box..GOOD WORK