Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 21, 2010

THIS IS IT YAWEKA HESHIMA YA AINA YAKE KATIKA HISTORIA YA FILAMU TANZANIA...MTOTO HANIFA DAUDI AWA KIVUTIO KIKUBWA SANA HUMU.

Maoni ya watu wengi ni kuwa kipaji cha mtoto huyu HANIFA DAUDI(JENIFA)nikiendeleze maana kazi aliyoifanya ni kubwa sana,wengi wamesifia sana na kusema ukweli toka nianze kutoa filamu hakuna filamu niliyowai kusifiwa kuwa nzuri kama hii watu mbalimbali wamenipigia simu nami nawashukuru sana,nawaahidi huyu mtoto kipaji chake nimekivumbua mtaani hakuwa rahisi maana niliita watoto takribani 30 nikachuja na kuwafundisha kwa mwezi mzima ndipo nikapata huyu mnamuona sasa hakika nami nafurai kwa jinsi alivyowiza naahidi nitamuendelea zaidi ya hapa lakini pia kumuimiza masomo ila aje kuwa msanii bora. HANIFA DAUDI(KATIKA MOVIE JENIFA)KAVUNJA REKODI YA WATOTO WOTE KATIKA FILM BONGO.

POSTERS LA MOVIE YENYEWE..

7 comments:

Albert said...

Keep on Brother Kanumba! Your kindness will make you shine all the time. It is good to think about children and give them a chance to try their talents in movies. Because they are the ones who will replace you and take your place later on as you ar getting old!
Albert,
Perth, Western Australia

Anonymous said...

Ni mara yangu ya kwanza kuandika comment katika blog hii. Mimi hiyo film ya This is it, bado sijaiona ila nimeiona Lovely Gamble. Kusema kweli katika film zako zote nilizoangalia hii sikuipenda hata kidogo. Haina mvuto ule ambazo zile zingine zinayo na mpiga picha haikuitendea haki film nzima kwani recording yake siyo nzuri na mwendelezo wa story sio mzuri. Kama kuna part II naomba iboreshwe tafadhali, nikiwa shabiki yako kusema kweli nimekuwa disappointed na movie hii.

Anonymous said...

jaman kanumba hongera sana..kwanza sikujua una blog jana ndo nimeangalia hii movie i must say its a must buy movie!!wow! ni nzuri balaaa,huyo mtoto amauvaa uhalisia haswa jaman mpaka mimi na utu wangu uzima huu nlikua naogopa!!good work brother keep it up maana atleast umetoka na story mpya na sio mapenz tu....good work

Anonymous said...

kwa kweli jennifer kacheza sana kushinda hata huyo patrick wa kiume na alikuwa serious maana mie nimeangalia nikacheka sana na majibuyake ya mkato kwakweli anajua na amejaaliwa hicho kipaji muendeleze tu anafaa kwa ss hata na baadae ila km ulivyosema na shule pia ajitahidi sanaaaaaaa

Anonymous said...

Naona umebania comments zangu, lakini ndo ukweli wenyewe.

dida said...

kiukweli kama ulivyosema itz tru hii kazi imesimama ile mbaya,dogo jen is so much talented.nimependa idea,in short its the best 2 me ukicompare na film zako zote za nyuma.keep it up....!!!

Simon munga said...

Hi kanumba,may i say that God has poured blessings upon you.and that girl is so dramatic,bravo.