Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 21, 2010

HARTMAN PRODUCTION NA SHOW BIZ DEFINED WANAKULETEA KIPINDI CHA HOT BRAND SOON.

Wiki hii nilialikwa kama mgeni maalum maarufu na rafiki yangu Hartman katika kipindi wanachokiendesha kila siku za jumapili kuanzia saa nane mchana hadi saa 2 usiku club SUN CIRRO,kinachowakutanisha wanafunzi wa secondary tofauti hapa Dar.....ni kipindi kizuri sana wanafunzi wote mnakaribishwa,mastaa mbalimbali hualikwa kama mimi nilivyopata nafasi hii nzuri sana karibuni sana . wanafunzi wakionesha ustadi katika kucheza hapa ni club sun cirro,kipindi ni HOT BRAND ambacho kitakuwa kikiendeshwa na JAM SESSION.

UKUMBI UNAVYOKUWA SIKU HIYOThe great na Hartman nikitazama dancing za wanafunzi walionikaribisha vizuri huku mwanafunzi mwingine akininong'oneza kuwa anaomba shavu katika movie zangu maana ana kipaji.

Nikiitwa kuwasalimia wanafunzi katika mic..

kelele za wanafunzi kidogo zilinitia aibu eti walitaka na mimi nicheze..


kikundi cha wasichana wakishake vilivyooooo

wakati wa kuingia nilisaini autograph za wanafunzi kadhaa mlangoni waliokuwa wakinisubiri kwa hamu huku Hartman akinisindikiza.wengine waliomba niwasainie katika miili yao nami ikabidi niwaridhishe.

nikisaini autograph

Nikipokelewa nje tayari kwa kuingia club sun cirro

1 comment:

Albert said...

Kumbe Bongo kuna mambo Bwana kanumba! Ni vizuri K'ka Kanumba kuwa unaonesha upendo na ushirikiano kwa kila mtu.Hao wanafunzi ni vuzuri kuwa wanakutana kwa pamoja kwa kuona ushirikiano kati yao, lakini wasisahau majukumu yao...
Albert
Perth, Western Australia