Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 4, 2010

FROM SFC AWARDS...BEST ACTOR NI STEVEN KANUMBA.

Natoa shukrani zangu za kweli toka moyoni kwa SFC kunipatia tuzo hii ya BEST ACTOR kutokana na kazi zangu asanteni sana kwa kunitia moyo naahidi kuongeza juhudi zaidi ya hapo,nawashukuru pia mashabiki wangu wa ukweli toka moyoni kwa kuendelea kuwa upande wangu kila siku kila mwaka.Pia kwa moyo mkunjufu kabisa napenda kuchukua nafasi hii kushukuru RADIO CLOUDS nilikuwa sipo Dar ila nimesikia toka kwa watu wangu wa karibu ya kuwa ilinitangaza kuwa BEST ACTOR 2009\2010 katika shindano lililokuwa hapo radioni asanteni sana,sifa na utukufu tumrudishie muumba wa mbingu na dunia. me na jaq wolper siku ya awards ambapo jaq nae alipata tuzo ya msanii bora wa kike mwenye mvuto katika uigizaji.


me na mkoloni tukiteta jambo

mambo ya red carpet.

No comments: