Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 22, 2010

BILCANASS...JUMATANO KATIKA USIKU WA MWAFRICA..

MR&MRS NDIKUMANA WALIKUEPO

SWAHIBA,THE GREAT&MECKY MAMA WA LOVELY GAMBLE

JOHARI NA SALEH KUPAZA

THE GREAT NA MDAU MKUBWA WA RJ COMPANY NA KANUMBA THE GREAT FILM MHESHIMIWA CHIME CHANDE.

DIOF AKIJISOGEZA KWA NDIKUMANA

HEMED NA RAFIKE YE WALIKUEPO

HAPA TINO SIJUI ANALIA,ANAIMBA AU?

HII SEHEMU SIKU HIZI INAITWA KWA WAZEE WA FILAMU MAANA IKIFIKA MDA WA SAA SITA WACHEZA FILAMU WOTE UTAWAONA MAENEO HAYA.

KAKA YANGU JB SEBENE LIMEMKOLEA ANATAMANI HATA KULIA

3 comments:

lea said...

mbona huyu rafiki yake hemed kafanana sana na wewe? au ni ndugu yako?
Lela

Anonymous said...

jamani huyo ndimkana mbona mmbaya hivyo. ndio maan ahuyu demu haishi kuja bongo kila kukicha, kwa mtaji huo hata mimi simlaumu. Yote hayo sababu ya pesa, jamaa mmbovu....duh!.
KANUMBA USIBANIE HII.

penina said...

- Ha ha ha!
- Kwa huyo Bro JB mbona nilisikia ni mtumishi sasa humo kwenye Sebene la dunia alivutiwa na nini hadi awe na midadi namna hiyo?
- kazi ipo kama ndo hivyo watumishi kukesha kwenye masebene ya dunia