Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 6, 2010

Crouch 1-0 Man City, Aipeleka Tottenham Klabu Bingwa ulaya Msimu ujao

Mchezaji wa kimataifa wa Tottenham Hotspur na England Peter Crouch jana alifanikiwa kutia wavuni bao la muhimu zaidi katika timu yake Dhidi ya Manchester City wakiwa nyumbani na kufanikiwa kuchukua pointi tatu muhimu zilizowahakikishia kuikamata vilivyo nafasi ya Nne katika msimamo wa ligi kuu ya Uingereza hivyo kupata nafasi ya kuingia katika ligi ya Kombe la Mabingwa barani ulaya yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi mwezi wa nane mwaka huu.

Tottenham kwa sasa wako mbele Pointi 4 mbele ya manchester City ambayo imebakiza mchezo mmoja ambao hata kama wakishinda 50-0 hawatoweza kuipita Tottenham pointi zaidi ya pointi Nne.


Hapa Peter Crouch akimalizia mpira wavuni ambao kipa wa Man City aliutema


No comments: