Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 29, 2010

UTAMBULISHO WA BENDI YA EXTRA BONGO WAFANA SANA MSASANI CLUB

PROFESA JAY ALIKONGA NYOYO ZA MASHABIKI VILIVYO

THE GREAT NA STEVE NYERERE AMBAE NAE ALIVUNJA MBAVU ZA WATU SANA

MATONYA NAE ALIFANYA KWELI

HUSSEIN MACHOZI NAE ALIKUEPO

MWANAMZIKI TOKA CONGO ADOLPH DOMINGUEZ ALIFUNIKA VIBAYA SANA HASAHASA KATIKA KUCHEZA ALIKUMBUSHIA ENZI ZA PENTAGONI NA WENGE MUSICA

MC MAIMATHA AKIMSIHI ADOLPH DOMINGUEZ AMKARIBISHE ALLY CHOKY NA BENDI YAKE

KAMA KAWAIDA YAKE ALIINGIA KWA STAILI INGINE TOFAUTI NA YA FARASI SASA KAMA CHIFF.

CHOKY AKIKONGA NYOYO ZA WASHABIKI KWA MARA YA KWANZA CHOKY NILIMUONA AKICHEZA SANA TOFAUTI NA TULIVYOMZOEA AKAWA KAMA WERRASON

ADOLPH ALIPANDA JUKWAANI KUMSAPOTI CHOKY HATA KATIKA KUIMBA HUYU JAMAA HAKIKA NI MTU WA WATU SANA MAANA ALIKUWA AKISALIMIANA NA KILA MTU.

2 comments:

Anonymous said...

mwambie mhudumu akupe ndovu nyingine maana hiyo naona imeisha unakunyuwa mpaka imekuwa ya bluu

Hadj Drogba "mwana chelsea" said...

KWELI KAKA NAKUBALIANA NAWEWE ADOLPHE NI MTU WA WATU SANA SIO SASA TU NI TOKA ENZI ZILE WAKO JUU NA WENGE YAO,KATI YA WOTE NI YEYE NDIO ALIKUA MTU WA KUJICHANGANYA NA WATU POPOTE WALIOENDA KUPIGA SHOW IWE PARIS, BRUSSELS,ABIDJAN,DAR,YANI HACHAGUI AFRIKA AU EUROPE YEYE KWAKE WATU WOTE SAWA TU,KUNA KIPINDI ALIKUJA HAPA WAKIWA NA WERRA BAADA YA KUJITENGA NA JB MUDA MWINGI AKAWA NA HUSSEIN MACHENI AKAAHIDI LAZIMA AJIFUNZE SWAHILI NA KWA KUONYESHA MFANO AKAWA ANAJARIBU KILA MARA KUONGEA KISWAHILI KIBOVU BASI AKAWA NI BURUDANI TOSHA,BROTHER UMEPATA RAFIKI JITAHIDI USIMPOTEZE,HUYO JAMAA HANAGA NYODO