Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 1, 2010

THIS IS IT KUINGIA MTAANI MWEZI HUU

Filamu yangu ya THIS IS IT itakuwa mtaani mwezi huu ikisambazwa na STEPS ENTERTAINMENT...Mara nyingi tumekuwa tukicheza sisi tu sana katika movie zetu sasa ni zamu ya watoto wetu,wadogo zetu kuonesha vipaji vyao kama hawa watoto ambao nimejaribu kuibua vipaji vyao ambavyo hakika si watoto wenzao tu bali hata wazazi watafuraia sana,ni filamu nzuri sana kwa familia,unaweza kukaa na watoto wako mkapata burudani safi sana. poster lake


cover lake la DVD ambalo hata VHS na VCD itakuwa hivyo hivyo

DVD yenyewe yaani kile kisaani kitakavyokuwa..

No comments: