Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 8, 2010

TOP TEN NAIJA HOTTEST CELEBRITY MOTHER..

Msanii nguli nchini Nigeria Omotola Jalade ameingia katika top ten ya shindano linaloendeshwa nchini humo la Hottest celebrity mother-no1 ambapo kuna kila dalili za kushinda maana ni mama mwenye watoto wanne na amefanikiwa kudumu katika ndoa yake na kuendelea kutoa malezi bora kwa watoto wake pamoja na kuwa busy katika shughuli zake za filamu na mziki... Omotola akiwa na mwanae wa kiume

Akiwa katika pozi..

Akiwa kazini akishoot movie na msanii mwenzake Ramsey hivi karibuni ambapo Ramsey anaonekana kupungua sana mwili wake tofauti na tulivyomzoea hata staili yake ya ndevu ni kama msanii wa mziki Congo aitwae Felix Wazekwa.

3 comments:

BQ said...

DUH SAFI SANA AISEE HUYU DADA NI MOTO ILE MBAYA WATOTO WANNE SI MCHEZO HALAFU THE WAY ALIVYO FIT IN SHAPE, BINAFSI NAMPENDA SANA WISH THE BEST FOR HER

Anonymous said...

Kanumba na wewe change your life style punguza mwili vijana wote now days twapunguza miili yetu ili kwenda na wakati.

Anonymous said...

Omotola Jolade Okiende..she my best Nigerian Actress..She is of my age but she is totally different from me in terms of how she makes her body fit.
You r qut baby!!

Mary