Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 26, 2010

JARIDA LA FILAMU ZA KIBONGO LAJA...KAA MKAO WA KULA.

KATIKA KUONESHA KUWA TASNIA YA FILAMU BONGO IMEKUWA SASA JARIDA KALI LIITWALO FILM LINAKUJA HIVI KARIBUNI.LITAKUWA LIKIZUNGUMZIA MAMBO YOTE YA FILAMU HAPA BONGO NA WAIGIZAJI WAKE WOTE...SI LA KUKOSA.

HIVI NDIVYO LITAKAVYOONEKANA KWA MBELE..

5 comments:

Anonymous said...

yah dats wat am talkin abt maan . . ebwana kwanza kanumba nakupa hongera kwa kuinsire watu katika film making tz congrats bt there a lot n seriouz mistakes u gota work on em

jimmy wilbard said...

Kwanza mdogo wangu nakushukuru kwa kujitahidi kufanya kazi kwa bidii sana ,na mwisho utayaona mafanikio yake.
Mimi nakupongeza kwa kuanzisha hilo jarida ila naomba basi tuanze kuufanyia kazi ushauri wa mzee wetu Mzee Kalala toka Washington aliyependekeza kuwa tutumie lugha ya kiswahili,basi kwa kuanzia naomba kama itawezekana hilo jarida liitwe "FILAMU" badala ya 'FILM' hata wadogo zangu walioko kule Nachingwea,Newala.Tunduru,Nanyumbu,Kibondo,Moshi vijijini.Magu,Maswa(nyumbani) na kwingineko wavutiwe tu na hilo neno "FILAMU" naomba kuwakilisha kaka
Kazi njema na Mungu akubariki

Eng.Jimmy
Masasi-Mtwara

Anonymous said...

samahani bro!!!but nilikuwa nakuomba umpatie namba zangu mdogo wako aitwaye OTIMA niliachana naye cku nyingi nilikuwa nasoma naye shule ya mcngi pale miburani "B" au umoja naitwa jamal mo. 0769 286287

ATANAS said...

HI NIAJE M2 MZIMA EBWANA NAKUBALI SANA KAZI ZAKO.TEMBELEENI MIKOANI COURSE 2NAVIPAJI ILA TUNAKOSA WA KUTUENDEZA.KATIKA KAZI ZENU KUNAUPUNGUFU WA KUCHEZA ACTION MOVIE SO KAMA VP CHAT WITH ME BROTHER.MY NAME IS ATANAS 0712763834 THATS IS MY PHONE NOMBER

Anonymous said...

HI NIAJE M2 MZIMA EBWANA NAKUBALI SANA KAZI ZAKO.TEMBELEENI MIKOANI COURSE 2NAVIPAJI ILA TUNAKOSA WA KUTUENDEZA.KATIKA KAZI ZENU KUNAUPUNGUFU WA KUCHEZA ACTION MOVIE SO KAMA VP CHAT WITH ME BROTHER.MY NAME IS ATANAS 0712763834 THATS IS MY PHONE NOMBER