Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 29, 2010

ONE BY ONE YA DR.CHENI YAZINDULIWA VIZURI UKUMBI WA GRM-MWENGE.

Wadau tukitazama kwa umakini zaidi movie

Dada Sharifa Kalala akitoa maoni yake kuhusu movie ya one by one

Gm wa Global publishers Abdallah Mrisho nae alitoa maoni yake

mama Dotnata kama mshiriki wa movie hiyo nae alitoa mchango wake

Mzee Yusuph Kalala na mwalimu mzuri wa Lugha ya Kiswahili ambae anaishi Washington-Marekani alisisitiza matumizi sahihi ya lugha ya kiswahili hasahasa katika majina ya movie zetu

The great pioneer nikitoa yangu ya moyoni

Swahiba nae akitoa yake ya moyoni kikubwa tulimpongeza rafiki yetu Dr.Cheni kwa kujitaidi sana

G.Makupa mkerugenzi wa GRM PRODUCTION alitoa mchango wake wa moyoni

wote kwa pamoja na dada Sharifa

Hakika ilipendeza sana na sanaa yetu yakuwa sasa

2 comments:

Anonymous said...

mwanawaniiiiiiiiiiiiii namuona dada jamani siku kibao sijamuona mwaaaaa my sis sharifa mic u so much.

Anonymous said...

sifuri.yaani sifuri kwelikweli.hujuwi mkubwa nani ,mdogo nani.