CCM imewashika wasanii safari hii!!Nakaaya pekee ndo msanii mwenye mtazamo tofauti,inawezekana hajaridhishwa na kiwango cha maendeleo kilicholetwa na CCM tangu uhuru,nafikiri yeye ni mfano mzuri kwa wasanii wengne ili kuipa changamoto serikali yetu ikaze buti la maendeleo.
mazoezi yanaanza kufanya kazi,unapendeza sasa na unakuwa na mvuto ile mbaya,kazana hadi kitambi kikate na kifua kiwe bomba.ili hata kwenye movie zingine kama una-act unatoka bafuni ukiwa umevaa taulo tuu tuone mikato 6 tumboni. Love ya sana
5 comments:
Tukinunuliwa wote na ccm hapatatosha na sio Democracy.
Kumbe the great uko mwana CCM? Nilikua sifahamu kabisa!
Albert
Perth, WA
CCM imewashika wasanii safari hii!!Nakaaya pekee ndo msanii mwenye mtazamo tofauti,inawezekana hajaridhishwa na kiwango cha maendeleo kilicholetwa na CCM tangu uhuru,nafikiri yeye ni mfano mzuri kwa wasanii wengne ili kuipa changamoto serikali yetu ikaze buti la maendeleo.
mazoezi yanaanza kufanya kazi,unapendeza sasa na unakuwa na mvuto ile mbaya,kazana hadi kitambi kikate na kifua kiwe bomba.ili hata kwenye movie zingine kama una-act unatoka bafuni ukiwa umevaa taulo tuu tuone mikato 6 tumboni. Love ya sana
duuh ni kwamba wasanii wote ni ccm au? . . a dnt get it as in 4 rill
Post a Comment